MAGARI MBALIMBALI YA MASHINDANO TAYARI YAMEWASILI KWA AJILI YA MBIO ZA MAGARI ZIJULIKANAZO KAMA VAISAKHI RALLY 2015.

Waaandaaji watoa zitakazo tumika katika mashindano ya magari.
Waandaaji wakiweka mabango mbalimbali yanayohusu kufanyika kwa mashindano hayo Mkoani Kilimanjaro.
TNG Team wakifanyia matengezo madogo madogo gari lao ambalo linataraji kushiriki katika mashindano ya magari yanayotaraji kufanyika weekend hii.
Magari ya mashindano yakiwa tayari yamewasili mjini Moshi kwa ajili ya mashindano yatakayofanyika weekend hii.

Comments

  1. how can i get a joining form of vaisakhi....hata mashindano yajayo..please help me

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

CHUO KIKUU CHA MZUMBE WAZINDUA KITUO CHA KUTOA MSAADA WA KISHERIA

TIB YAKABIDHI MICHORO HALISI YA KITUO CHA MABASI KWA UONGOZI WA MANISPAA YA MOSHI.

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA.