Tizama:DEREVA BODA BODA ALIVYONUSURIKA MDOMONI MWA SIMBA.

Baadhi ya madereva walilazimika kusimama baada ya kukutana na Mnyama,Simba.
Lakini kama unavyojua akili za madereva wengi wa Boda boda wao wanajua kuvuta mafuta tu bila kujiuliza kwa nini wengine wamesimama,Ahmad!!!! akakutana na mnyama uso kwa uso,anafanyaje sasa, Je mafuta yakikata hapo inakuaje.
Bahati nzuri mnyama alikuwa hana muda na mtu akanyanyuka akatokomea porini.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

CHUO KIKUU CHA MZUMBE WAZINDUA KITUO CHA KUTOA MSAADA WA KISHERIA

TIB YAKABIDHI MICHORO HALISI YA KITUO CHA MABASI KWA UONGOZI WA MANISPAA YA MOSHI.

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA.