Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akiwasili katika ghala la kuhifadhia bidhaa la Kampuni ya Marenga Investment alipofanya ziara ya ghafla kwa lengo la kujionea hali ya upungufu wa sukari pamoja na kufanya ukaguzi mwingine.aliiongozana nao ni kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutafungwa na Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akiwa katika ghala la kuhifadhia bidhaa mbalimbali la kampuni ya Marenga Investment.kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Wilbroad Mutafungwa. Mifuko ya Sukari iliyopo katika ghala hilo. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akiwana Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutafungwa wakimngojea mmiliki wa Ghala hilo . Sehemu ya Sukari inayozalishwa na kampuni ya sukari ya TPC ikiwa katika mifuko ya kilogramu 2. Sehemu ya bidhaa ya unga ikiwa katika Ghala hilo. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said M
nadhani ufike wakati sasa tuache kuwahadaa wananchi wakati tukielekea kwenye uchaguzi ...miaka 10 ulikua wapi usilete magari.. au unahitaji kura kwa kuwa uchaguzi umekaribia kwa miaka yote uliyokua mbunge umefika mara ngapi kuzungumza na wananchi juu ya matatizo yao, umeona matatizo ni kuwataka waugue wapelekwe hospitali kwa hayo magari?
ReplyDeleteIfike wakati mbowe ufikirie jingine la maendeleo..hayo tumeyaona moshi mjini pia