Posts

Showing posts from February, 2017

Mbio za Tigo Kili Half Marathon zafana mjini Moshi

Image
Sehemu ya kuanzia ya Tigo half Kilimarathon yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro. Washiriki wa Tigo half Kilimarathon wakiwania taji hilo kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro Washiriki wa Kilimarathon wakipewa maji kwenye kwa ajili ya kuchangamsha miili yao. Washiriki wa Tigo half Kilimarathon wakiwania taji hilo kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro Washiriki wa Tigo half Kilimarathon wakiwania taji hilo kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaaskazini, George Lugata akitoa neno la shukrani kwa washiriki wa Kilimarathon na wananchi waliojitokeza kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadick akimpa tuzo mshiriki wa Tigo half Kilimaratho mwenye miaka 90, Joram Zacharia Mollel baada ya kumaliza  mbio hizo za kilomita 21 Mshiriki wa Tigo half Kilimaratho mwenye miaka 90, Joram Zacharia Mollel baada ya kumaliza  mbio hiz

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Ivory Coast Mheshimiwa Alassane Ouattara jijini Abidjan

Image
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jana tarehe 23Februari 2016 amekutana na kufanya mazungumzo  na Rais wa Ivory Coast, Mhe. Alassane Ouattara katika Ikulu yake jijini Abidjan.. Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na Makamu wa Rais, Waziri wa Fedha na Waziri wa Elimu. Katika mazungumzo yao, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Ouattara wamezungumzia hali ya elimu bara la Afrika na Ivory Coast kwa ujumla na haja ya kufanya mageuzi makubwa katika elimu ili kuweza kuendana na kasi ya nchi zilizoendelea. Rais Mstaafu Kikwete amempongeza Rais Outtara kwa jitihada kubwa anayoifanya kuinua elimu nchini mwake. Kwa mujibu wa utafiti wa Kamisheni, Ivory Coast iko katika nafasi nzuri ya kufikia viwango vya juu vya ubora wa elimu vya nchi zilizoendelea iwapo itaongeza juhudi ya kufanya mageuzi kulingana na mapendekezo ya Kamisheni hiyo. Rais Outtara amemuhakikishia Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete azma y

KIPINDUPINDU CHAPIGA HODI JIJINI DAR ES SALAAM CHAUA MTU MMOJA WENGINE 12 WALAZWA HOSPITALI

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.  Na Dotto Mwaibale WAKATI jiji la Dar es Salaam likiwa katika  mapambano ya kukabiliwa na dawa za kulevya jiji hilo limekumbwa na ugonjwa wa kipindupindu ambapo mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Ramadhan Kiumbo (maarufu kwa jina la Popo) mkazi wa Kibada Kigamboni amefariki kutokana na ugonjwa huo.

WANACHAMA WA TANZANIA GIRL GUIDS WAFANYA USAFI MAGOMENI KOTA, COCO BEACH DAR

Image
 Walimu na wanafunzi wa shule za Msimbazi na Mongo la ndege ambao ni wanachama wa chama cha Tanzania Girl Guids (TGGA), wakijitolea kufanya usafi katika viwanja vya Magomeni Kota, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra ya maadhimisho ya wiki ya utoaji huduma kwa wahitaji. Wanachama hao walioongozwa na Mwenyeikiti wa chama hicho, Profesa Martha Qorro pamoja na Katibu wa Taifa wa TGGA, Grace Shaba walifanya usafi katika viwanja vya Magomeni Kota na Ufukwe wa Coco. Walimu na wanafunzi kutoka shule za Mugabe, Urafiki, Mongo la Ndege na Msimbazi ambao ni wanachama wa TGGA walishiriki ipasavyo kwenye usafi huo. Pia baadhi ya wanachama wa TGGA walikwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Taifa cha Yatima cha Kurasini, Dar es Salaam.  PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Wanafunzi wa Shule za Mugabe na Urafiki na walimu wao wakifanya usafi katika Ufukwe wa Coco Oysterbay, Dar es Salaam wakati wa kuadhimisha waiki hiyo

DC SAME AAGIZA WANAFUNZI KUWA NA MITI YA KUITUNZA

Image
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki Senyamule Na Mathias Canal Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki Senyamule amewaagiza walimu wakuu Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro kusimamia zoezi la upandaji miti kwa kumkabidhi kila mwanafunzi mti mmoja ambao atautunza katika kipindi chake cha masomo. Dc Senyamule ametasema hayo wakati wa kikao cha wadau wa elimu Wilayani humo kilichohudhuriwa na walimu wote wa shule za msingi na sekondari, Waratibu elimu, Maafisa Tarafa, Wazazi, Wanafunzi wawakilishi pamoja na baadhi ya Viongozi wa dini.  Kikao hicho kilichokuwa na lengo la kukubaliana na kupata namna bora ya kuboresha elimu na kiwango cha ufaulu Wilayani Same, Mkuu huyo wa Wilaya amesisitiza kuwepo kwa namna maalumu kwa ajili ya wanafunzi kufundishwa kwani mafanikio ya jitihada zao pekee katika kujisomea na kufundishwa darasani haitoshi bali wanahitaji kuongezewa msukumo na utaalamu zaidi kwa masomo ya ziada.   “Sote hapa kwa umoja wetu ni lazim
Image
Mkuu wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida,Miraji Mtaturu (aiyenyoosha mkono ) akiruhusu kuanza kwa Mbio za Km 8 kwa wasichana katika Mashindanio ya taifa ya Mbio za Nyika mjini Moshi. Washiriki katika  Mbio za Km 8 Wasichana wakichuana vikali katika Mashindano hayo.