Posts

Showing posts from October, 2017

TBL EXPERIENCES PHENOMENAL GROWTH

Image
The TBL Managing Director who is also AB-inBev’s President of the East African Business Unit,Roberto Jarrin ,at the Second Ministerial Dialogue with the Private Sector whose theme was “ The Sate of Doing Business in Tanzania”. --- We have experienced phenomenal growth from the second quarter of this year and will soon be looking to increase our production capacities, says the TBL Managing Director, Roberto Jarrrin. Jarrin was speaking at the Second Ministerial Dialogue with the Private Sector whose theme was “ The Sate of Doing Business in Tanzania”. The dialogue was hosted by the Minister of Finance and Planning - Honourable Philip Mpango and the Minister for Industry, Trade and Investment - Honourable Charles Mwijage in Dar es Salaam this week. This was a follow up to a similar meeting that was held in Dodoma early this year. The TBL Managing Director who is also AB-inBev’s President of the East African Business Unit, said that existing market conditions – the company ha

Tigo Kukabidhi Nyenzo za Kidigitali shule ya sekondari wasichana Machame

Image
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Gelacius Byakanwa akikata utepe kuzindua rasmi maabara yenye nyenzo za elimu ya kidigitali ya Tigo eSchools kwa shule ya sekondari  wasichana  Machame jana. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, Henry Kinabo. Mkuu wa wilaya ya Hai, Gelacius Byakanwa (aliyekaa k ulia)akipata maelezo ya matumizi ya kujisomea vitabu kwa njia ya mtandao kupitia Tigo eSchools toka kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari wasichana Machame, Delynes Laurian mara baada ya kampuni ya Tigo kukabidhi huduma hiyo shuleni hapo jana. Mtaalam wa tovuti toka Shule Direct, Emmanuel George akielezea jambo kwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Gelacius Byakanwa wakati wa uzinduzi wa Tigo eSchools shule ya wasichana Machame leo. Wengine nyuma kushoto Kaimu Mkurugenzi wa Tigo kanda kaskazini, Henry Kinabo, mwalimu mkuu wa shule ya Machame, Asteria Massawe Umati wa wanafunzi wa   shule ya wasichana Machame  Machame wakiwa wanashuhudia uzinduzi wa  Tigo eSchoolsl

KATIBU MKUU KITILA AZINDUA JUKWAA LA WADAU WA MAJI ARUSHA

Image
Katibu Mkuu wa Wizara   ya Maji na Umwagiliaji  , Profesa Kitila Mkumbo, Akizindua Jukwaa la wadau kuhusu usimamizi na utunzani wa maji katika Bonde la Pangani jijini Arusha juzi(Habari Picha na Pamela Mollel Arusha) Mwenyekiti wa Jukwaa  Jukwaa la wadau kuhusu usimamizi na utunzani wa maji katika Bonde la Pangani  Mhandisi Mbogo Futakamba, alisema pamoja na vyanzo vingi vya maji vilivyopo nchini, lakini kuna changamoto katika matumizi kwa maendeleo ya kiuchumi. Mhandisi wa Maji Mkoa wa Arusha, Joseph Makaidi, alisema, baadhi ya maeneo hali ya upatikanaji wa maji ni nzuri ikilinganishwa na maeneo mengine.   Afisa Maji kutoka Bonde la Pangani, Mtoi Kanyawanah,akizungumza na vyombo vya habari  Baadhi ya washiriki wakiwa katika picha ya pamoja Na Pamela Mollel,Arusha WIZARA ya Maji na Umwagiliaji, imeweka mkazo katika utunzaji wa maeneo ya vyanzo vya maji huku ikitaka wadau wa maji kushirikishwa kikamilifu katika mipango ya uanzishwaji wa viwanda.

SERIKALI KUCHUKUA RANCHI ZISIZOENDELEZWA.

Image
 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akilakiwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Mkinga (DAS) Joseph Sura wakati alipofanya ziara ya siku moja wilayani humo  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkinga Rashid Gembe   NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akisalimiana na Mkuu wa Polisi wilaya ya Mkinga (OCD) kushoto ni Katibu Tawala wa Mkinga,Joseph Sura  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili wilayani Mkinga  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega kulia akimsikiliza kwa umakini Katibu Tawala wa wilaya ya Mkinga (DAS) Joseph Sura kushoto wakati akisoma taarifa ya wilaya hiyo  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega a kizungumza na watumishi wa wilaya hiyo kabla ya kuanza ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali wilayani humo  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akiagana na na Katibu Tawala wa wilaya ya Mkin

AZANIA BANK YASAIDIA KATIKA ZOEZI LA UTOAJI WA ELIMU NA UCHUNGUZI WA SARATANI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC,MKOANI KILIMANJARO.

Image
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga (Mwenye miwani) akiwaongoza Maafisa wa Benki ya Azania waliofika katika Hosptali hiyo kwa ajili ya kukabidhi msaada katika Juma la utoaji elimu ya Saratani. Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi,Hajira Mmambe akikabidhi msaada wa vinywaji baridi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga kwa ajili ya wiki ya utoaji elimu ya Elimu juu ya ugonjwa wa Saratani pamoja na uchunguzi.wengine kulia ni ,Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali hiyo,Dkt Furaha Silventi na Afisa Mipango-KCMC,Kiula Kiula na kushoto ni Maafisa waandamizi Benki ya Azania kanda ya Kaskazin, Ali Duru na Caroline Mugendi .  Sehemu ya Msaada wa vinywaji baridi uliotolewa na Benki ya Azania . Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt ,Giliard Masenga akikabidhi msaada huo kwa Mkuu wa Kitengo cha Saratani- KCMC Dkt Furaha Silventi. Maofisa Waandamizi wa Benki ya Azania kanda ya Kaskazini na Viongozi wa

NMB WAENDELEZA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA MUDA WA MWEZI MMOJA MJINI MOSHI.

Image
Banda la Benki ya NMB likiwa katika eneo lilipo soko la Mitumba la Kiboriloni kwa ajili ya kutoa huduma kwa wateja wa benki hiyo. Baadhi ya wananchi wakiwa katika eneo la soko la Mitumba la Kiboriloni kwa ajili ya kujipatia huduma. Afisa Masoko wa Benki ya NMB,tawi la Nelson Mandela,Theodosia Manyama akimsikiliza mteja wakati akiandika maelezo wakati wa ufunguaji wa akaunti . Afisa Masoko wa Benki ya NMB,tawi la Nelson Mandela,Theodosia Manyama akichukua taswira ya mteja wa Benki hiyo alipofika kwa ajili ya kufungua Akaunti. Afisa Masoko wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Theodisia Manyama akichukua alama ya kidole mmoja wa wateja waliofika katika banda hilo kwa ajili ya kufungua Akaunti. Meneja wa Benki ya NMB ,tawi la Nelson Mandela mjini Moshi ,akijaribu kutoa ushawishi kwa dereva wa bodaboda kufungua akaunti ya Chap chap ikiwa ni moja ya huduma inayotolewa na Benki hiyo. Afisa Masoko wa Benki ya NMB,tawi la Nelson Mandela ,Martha Malisa akimuelek

WIZARA YA MALIASILI, ARDHI NA TAMISEMI KUMALIZA MGOGORO WA MPAKA WA HIFADHI YA NORTH UGALA NA VIJIJI JIRANI

Image
NA HAMZA TEMBA- WMU- URAMBO, TABORA ................................................................................... Naibu  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amesema Wizara yake itashirikiana na Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajili ya kutoa uamuzi wa pamoja wa kumaliza mgogoro wa mpaka baina ya Hifadhi ya Msitu wa North Ugala na vijiji jirani vya Kangeme, Utenge na Mtakuja wilayani Urambo . Naibu Waziri  Hasunga amesema hayo mkoani Tabora jana wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani humo kwa lengo la kutafuta suluhu ya mgogoro huo. Akiwa mkoani humo alitembelea eneo lenye mgogoro, akafanya mkutano wa hadhara na wananchi na viongozi mbalimbali wa Serikali kwa ajili ya kutafuta majibu ya kutatua mgogoro huo. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Kangeme, Mkazi wa Kijiji hicho, Ramadhan Rashid alisema wananchi wa vijiji hivyo wanailalamika Serikali kupitia Wakala wa Huduma