SERIKALI KUCHUKUA RANCHI ZISIZOENDELEZWA.
NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akilakiwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Mkinga
(DAS) Joseph Sura wakati alipofanya ziara ya siku moja wilayani
humo
NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Mkinga Rashid Gembe
NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akisalimiana na Mkuu wa Polisi wilaya ya Mkinga
(OCD) kushoto ni Katibu Tawala wa Mkinga,Joseph Sura
NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili
wilayani Mkinga
NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega kulia akimsikiliza kwa umakini Katibu Tawala wa
wilaya ya Mkinga (DAS) Joseph Sura kushoto wakati akisoma taarifa ya
wilaya hiyo
NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akizungumza na watumishi wa wilaya hiyo kabla ya kuanza
ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali wilayani
humo
NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akiagana na na Katibu Tawala wa wilaya ya Mkinga
(DAS) Joseph Sura kulia mara baada ya kusaini kitabu cha wageni na
kupata taarifa ya wilaya hiyo
NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi Abdallah Ulega akilakiwa na Diwani wa Kata ya
Mwakijembe.NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega katikati akiteta jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkinga Rashid Gembe kulia ni Diwani wa Kata ya Mwakijembe
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega katikati akiteta jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga,Rashid Gembe
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akizungumza na Jamii wa Wafugaji wa Kimasai na wakulima katika Kijiji cha Perani ambapo aliwataka kuishi kwa amani kwa kufuata taratibu ili kuepusha migogoro baina ya wakulima na wafugaji
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega amesema serikali itazirejesha ranchi zote zilizobinafsishwa na kushindwa kuziendeleza.
Amesema ranchi hizo zitagawiwa kwa wafugaji ili kufunguza tatizo la malisho nchini jambo.
Kauli ya Naibu Waziri huyo aliitoa wilayani hapa wakati wa ziara yake ya siku moja ambapo alisema kwamba lengo la kuchukua ranchi hizo ni kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji ambao kwa mara kadhaa wamekuwa wakigombania maeneo ya ardhi kwa ajili ya malisho na kilimo.
Alisema kwamba serikali imeamua kuchukua uamuzi huo ili kuepusha wafugaji waishio mipakani wasipeleke mifugo yao katika nchi jirani ambako kuna malisho. Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Comments
Post a Comment