WANAWAKE WA WORLD VEGETABLE CENTER WAWALETEA ELIMU YA KILIMO WATOTO WA MATONYOK
Wanafunzi na Watoto wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto wanaotoka kwenye mazingira hatarishi wakiwa katika eneo la bustani kwa ajili ya kupata elimu juu ya kilimo cha Mboga kutoka kwa Wanawake watafiti kutoka taasisi ya kimataifa ya utafiti wa Mboga Duniani "World Vegetable Center ya jijini Arusha ambao waliwatembelea watoto hao . Mtafiti Bi. Inviolate Mosha kutoka taasisi ya kimataifa ya utafiti wa Mboga Dunia " World Vegetable Center",akiwafundisha watoto katika kituo cha kulea watoto cha Motonyoki kilichopo Olasiti jijini Arusha namna ya kuotesha mboga . Mtafiti Bi. Inviolate Mosha kutoka taasisi ya kimataifa ya utafiti wa Mboga Dunia " World Vegetable Center",akiwafundisha watoto katika kituo cha kulea watoto cha Motonyoki kilichopo Olasiti jijini Arusha namna ya kuotesha mboga ,zoezi hilo likishuhudiwa na Mkurugenzi wa taasisi hiyo Colleta Ndungulu (wa pili kutoka kulia) walioshika majembe. Sehemu ya timu kutoka taasisi ya kimataifa ya utafiti wa ...