Posts

KILIMANJARO MARATHONI ROUTE RATIFIED.

Image
Moshi. The new Kilimanjaro Marathon route has just been measured and ratified and looks to be an improvement on the previous routes. The new route is no longer an out and back route, it’s a continuous circuit which should help with traffic and congestion issues. The route was measured and ratified yesterday by Hugh Jones , Secretary of Association of International Marathons and Distance Races (AIMS) , assisted by Michael Hughes of the Nairobi Marathon , Ibrahim Hussein of IAAF, and John Bayo of the Kilimanjaro Marathon Club. Commenting about the new route, Hugh Jones , Secretary of Association of International Marathons and Distance Races (AIMS) said: “It is an astonishingly beautiful course. Right after the half marathon start and entering the second half of the marathon, runners will be probably be concentrating on getting the climbing done. This part of the course is testing but there is plenty of crowd support. As spectators thin out the countryside becomes more...

SHAHIDI KESI YA KUSAFIRISHA TWIGA AMKAANGA MTUHUMIWA .

Image
Aina ya ndege inayodaiwa kutumika kurosha wanyama Hai. Moshi SHAHIDI wa 20 katika kesi ya utoroshaji wanyama hai kwenda Uarabuni ameileza mahakama ya hakimu mkazi mjini Moshi kuwa mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya utoroshaji Twiga kwenda Uarabuni,Kamran Ahmed alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwepo siku ya tukio la kusafirisha wanyama hao. Shahidi huyo Robert Nyanda mkazi wa Dar es salaam aliieza mahakama hiyo kuwa mshtakiwa huyo alikuwa ameambatana na watu wengine ambao kwa pamoja walikwenda na gari ndogo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA). Akiongozwa na wakili wa serikali,Evetha Mushi,mbele ya hakimu mkazi wa mahakama hiyo, Simon Kobelo, shahidi huyo mtumishi wa kampuni ya Swissport uwanja wa ndege wa Mwl Julius Nyerere(JKNIA) alieleza kumuona mshitakiwa uwanjani hapo akiwa na wenzake. Aliieleza mahakama kuwa mshtakiwa huyo akiwa na wenzake ambao aliwataja kwa majina ya Msakamali na Kimath wafika uwanjani hapo na gari dogo huku gari jingine aina y...

MRIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA MKUNAZINI ZANZIBAR.

Image
Eneo ambalo limeharibika kwa kuchimbika na kitu cha mripoko katika eneo la mkunazini, na kuleta mtafaruku na tukio hilo la mripuko katika majira ya mchana, Katika mripuko huo hakuna mtu aliyepata majarana na uharibifu wa majengo katika eneo hilo.   Add caption Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe Abdi Mahmoud Mzee akizungumza na Kiongozi wa Kanisa la Mkunazini Ndg. Nuhu Salanya, na Maofsa wa JWTZ , katika eneo la tukio na kutowa maelekezo kwa Uongozi wa Kanisa alipofika katika eneo la tukio kuangalia athari na uharibifu uliotokea katika eneo hilo, wakati wa mripuko huo. Maofisa wa JWTZ wakiangalia eneo la tukio lililochimbika kutokana na kitu kinachodhaniwa ni bomu, katika tukio hilo hakuna Mwananchi aliyejeruhiwa.Picha na Zanzinews

Tizama:MAISHA YA BI AZIZA ALIYEKUWA AKIISHI CHOONI HADI IJUMAA YA FEB 22 MWAKA HUU

Image
Ijumaa ya February 22 majira ya 7 kasoro dakika kadhaa nawasili kijiji cha Mijongweni wilayani Hai. Safari yangu hii ni kutizama maenedeleo ya Bib Aziza Mohamed aliyekuwa akiishi chooni baada ya nyumba yake kuezuliwa na mvua yenye upepo mkali ghafla milangoni nakutana na kufuri. Hata pale nilipomwacha siku ya kwanza kufika ,Chooni ambako bibi huyo alihamishia makazi yake pia kulikuwa na kufuri. Nikalazimika kwenda kwa mtendaji wa Kitongoji cha Kijiweni Abdul Msuya kupata msaada wa kumpata Bi Aziza na safari ya kumtafuta ikaanza. Njiani tunakutana na maeneo ambayo yaliathirika na maji ,yakiwemo mashamba ya migomba ,mahindi kadharika mpunga. Mwenyekiti Msuya alinionesha kila mahala palipo pata athari ya mvua hiyo. Migomba iliharibika vibaya. Udongo ulizolewa na kupelekwa kwenye mashamba ya Mpunga. Hata ndizo zilizokuwa tayari zimebeba pia ziliharibika vibaya . Hata Bamia ikalazimu kina mama kukata mashina ya bamia na kugeuza kuni. Tarajio la ku...

SAMAHANI KWA PICHA:Tizama :MWILI WA DEREVA WA LORI LA MAFUTA LILILOPATA AJALI MIKESE AUBUHI YA LEO NA KULIPUKA

Image

KILIMANJARO MARATHONI 2014 YAWATEGA WAANDISHI WA HABARI.

Image
Dk Fenella Mukangara Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dk. Fenella Mukangara anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mbio mbio za 12 za Kilimanjaro Marathon ambazo zinatarajiwa kufanyika Jumapili ijayo tarehe 2 Machi, 2014 mjini Moshi.  Aggrey Marealle, Mkurugenzi Mkuu wa Executive Solutions, waratibu wa mbio hizo alisema jana kwamba Dr. Mukangara amekubali kuwa mgeni rasmi na atahuduria sherehe ya utoaji zawadi ambapo atatoa zawadi kwa washindi kumi wa mbio defu za kilomita 42 maarufu kama Full Marathon kwa wanaume na wanawake.  “Uwepo wa waziri ni ishara ya uungaji mkono tukio hili na ameeleza kufurahishwa kwake na maandalizi ya hali ya juu ya Kilimanjaro Marathon. Dk. Mukangara ameeleza mara kadhaa kwamba serikali inaunga mkono Kilimanjaro Marathon kwa kutambua mchango wake michezo, utalii na uchumi,” alisema Marealle.  Marealle aliongeza kwamba baada ya sherehe ya utoaji zawadi Waziri ataungana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na mpenda mic...

News Alert: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 HAYA HAPA.

Image
Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde akisoma matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2013 Dar es Salaam .  Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (CSEE) uliofanyika Novemba 2013  yanapatikana katika tovuti zifuatazo: www.matokeo.necta.go.tz , www.necta.go.tz www.moe.go.tz ,  na www.udsm.edu.ac.tz .