Tizama:MSAFARA WA MAGARI YASIYO NA IDADI YALIVYO PAMBA HARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI.
| Mbunge
Joshua Nassari na Anande Nnko wakiwa mbele ya zawadi yao ya Ng'ombe ilitolewa na waumini wa Kanisa la Kilinga ambako ibada ya ndoa ilifanyika,kanisa linaloongozwa na Mchungaji Babu. |
| Mbunge
Joshua Nassari na Anande Nnko wakiteta jambo . |
| Baba Mzazi wa Joshua Nassari,Mzee Samwel Nassari akimpongeza mwanae kwa hata hiyo. |
| Mamsapu akianza majukumu ya kuhakikisha Mzee anakuwa nadhifu kila wakati. |
| Maharusi wakaaga katika viwanja vya Kanisa la Kilenga . |
| Bi Harusi Anande Nnko akiwa katika gari tayari kuelekea katika viwanja vya Usa-River Academy. |
| Msafara ukaanza safari ya kuelekea barabara kuu ya Moshi/Arusha ukitokea kanisani Kilinga. |
| Baadae maharusi wakabadili gari ili waweze kuonekana vyema na wakazi wa jimbo la Arumeru Mashariki. |
| Maharusi wakiwa katika gari la wazi huku wakipunga mikono kwa watu waliokuwa barabarani. |
| Mharusi waki "Show Love" |
| Kila sehemu msafara wa magari ya maharusi ulipopita ,wakazi wa maeneo hayo walionesha furaha zao . |
| Barabarani kulijaa watu wakimshangilia Mbune wao akijinyakulia Jiko. |
| Kama kawaida Jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili. |
| Msafara wa magari ulikuwa ni mrefu . |
| Madereva wa boda boda pia walikuwepo kuongoza msafara . |
| Wananchi hawa jamii ya Maasai walitembea umbali mrefu na msafara huku wakiimba nymbo na hatimaye msafara ukaingia Ngurdoto Mountain Lodge kwa ajili ya upigaji wa picha . |
Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini alikuwa katika sherehe hiyo matukio mbalimbali mtaendelea kuyapata hapa na http://dixonbusagaga.blogspot.com.
noma sanaaaa @dick
ReplyDelete