Posts

Showing posts from January, 2015

MATUKIO YA MCHEZO WA SIMBA ILIPOWATUNGUA JKT RUVU UWANJA WA TAIFA.

Image
Beki wa timu ya Simba,Hassan Isihaka (26) akiangalia namna ya kumzuia Mshambuliaji wa Timu ya JKT Ruvu,Jabir Aziz katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1.   Nyanda wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiwania mpira wa juu na Mshambuliaji wa timu ya JKT Ruvu,Samuel Kamuntu  katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1. Weeee.........  Wachezaji wa Timu ya JKT Ruvu wakishangilia goli lao la kusawazisha dhidi ya Simba, katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1. Kiungo wa JKT Ruvu akiruka daruga . Kocha wa Timu ya Simba akiwapa mawaidha wachezaji wake.

MKURUGENZI MKUU NHC ATEMBELEA GEITA NA MWANZA.

Image
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC ukitembelea nyumba za gharama nafuu zilizojengwa eneo la Bombambili, Geita kwa ajili ya kuuzia wananchi. Sehemu ya nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Bombambili Mkoani Geita Sehemu ya nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Bombambili Mkoani Geita Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akitoa ufafanuzi kwa jopo la wasimamizi wa miradi ya Shirika na watendaji wengine ya namna wanavyoweza kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba ili wananchi wengi wa kipato cha kati na chini waweze kumudu kuzinunua.

BENKI MPYA YA MAENDELEO YA KILIMO(TADB) YAAHIDI KUTOA HUDUMA BORA ZA KIBENKI KWA WATEJA WAKE

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Thomas Samkyi akizungumza katika warsha juu ya kujadili mpango wa maendeleo wa taasisi hiyo kwa miaka 25 ijayo. Warsha hiyo ilifanyika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam. Mkuu wa Mipango, Sera na Ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Francis Assenga akizungumza na wadau katika mkutano huo. Wadau wa sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji wakifuatilia warsha ya mpango wa maendeleo wa miaka 25 wa benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika kwenye hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Sophia Kaduma akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi, wakurugenzi wa benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania pamoja na wadau walioshiriki warsha ya Maendeleo ya miaka 25. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Sophia Kaduma (katikati) waliokaa akiwa na Viongozi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) mara baada ya kufungua mku

RAIS KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA MAADHIMISHO SIKU YA SHERIA NCHINI (LAW DAY)

Image
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande (Kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini mwaka 2015. Maadhimisho hayo yanaongozwa na maudhui yasemayo “ Fursa ya kupata haki: wajibu wa Serikali, Mahakama na wadau”. Kushoto ni Mh. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama. Na. Aron Msigwa – MAELEZO.  Rais Jakaya Kikwete anatarijiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya sheria nchini (Law Day) itakayofanyika Februari 4, 2015, katika viwanja vya mahakama vilivyopo mtaa wa Chimala jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es salaam, Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande amesema kuwa maadhimisho hayo kwa mwaka huu yanaongozwa na maudhui yasemayo  “ Fursa ya kupata haki: wajibu wa Serikali, Mahakama na wadau”.  Amesema kwa mara ya kwanza maadhimisho hayo yataambatana na maonesho ya Wiki ya   Shera yatakayofanyika  katika viwanja vya Mnazi Mmoja   kuanzia  tarehe  30

CRDB YAZINDUA KAMPENI MAALUMU YA UTUMIAJI WA HUDUMA ZA BENKI KUPITIA ZA MKONONI ‘SIMBANKING’,

Image
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja   wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa   akimkaribisha Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei kuzungumza katika hafla ya uzinduzi wa   kampeni maalumu ya utumiaji wa huduma za benki hiyo kupitia simu za mkononi ‘SimBanking’,  kupitia kwa mawakala wa ‘FahariHuduma’, ijulikanayo kama ‘Tuma pesa na SimBanking shinda Passo’ uliofanyika jijini Dar es Salaam Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi huo. Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja   wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (katikati) akiwa na maofisa wa benki hiyo. Maofisa wa benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo. Maofisa wa benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo. Baadhi ya wadau wa benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo.

AIRTEL YATANGAZA TANO BORA YA SHINDANO LA AIRTEL TRACE MUSIC STARS.

Image
Meneja Uhusiano wa Airtel  Tanzania , Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari  (hawapo pichani)  wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars.Kulia ni Meneja Masoko wa Airtel, Anethy Muga. Meneja Masoko wa Airtel Tanzania, Anethy Muga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars.Kushoto ni  Meneja Uhusiano wa Airtel  Tanzania , Jackson Mmbando. Meneja Uhusiano wa Airtel  Tanzania , Jackson Mmbando (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wanne waliongia hatua ya 5 bora katika mashindano ya kuvumbua vipaji vya muziki ya Airtel Trace Music Strars . fainali za mashindano hayo zinategemea kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa pili. kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Tanzania, Anethy Muga.

MSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI.

Image
Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akiwa ameshika  bendera kuashiria uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za  Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes,Wengine  ni Viongozi katika kampuni ambazo zimejitkeza kudhamini mbio  hizo Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akizungumza wakati wa hafla fupi ya  uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za  Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Pamela Kikuli ambao ndio wadhamini wakuu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2015 ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio hizo uliofanyika Hotel ya Kibo Homes mjini Moshi. Baadhi ya wageni walikwa katika uzinduzi wa msimu wa 13 wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni uliofanyika mjini Moshi. Mkurugenzi wa Kanda ya kaskazini wa kampuni ya Tigo Tanzania ,David Charles ambao ndio wadhamini wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni kilometa 21 akizungumza wakati

WAFUASI WA CHAMA CHA WANANCHI CUF WATINGA MAHAKAMANI.

Image
 Ulinzi mkali wa polisi kwa watuhumiwa hao ambao walipelekwa rumande wakati mchakato wa dhamano yao ukifanyika ambao kila mmoja anatakiwa kusaini dhamana ya shilingi 100,000/= pamoja na mdhamini mmoja. Ndugu na jamaa wakipata maelekezo kutoka kwa watuhumiwa hao. Wanachama 30 wa Chama cha Wananchi CUF, leo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu yanayo wakibili. Washitakiwa hao waliofikishwa mbele ya Hakimu Mkazi, Emmilius Mchauru wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu walisomewa mashitako hayo matatu ambayo ni Kula njama ya kufanya jinai kesi inayowakabili watuhumuwa wote 30 kosa walilolitenda huko Temeke.   Kosa la pili ni kufanya mkusanyiko usio halali na kosa la tatu ni kufanya mgomo wa katazo halali la Jeshi la Polisi ambapo kosa la pili na tatu linawakabili mtuhumiwa wa kwanza hadi 28.

TANZANIA LAUNCHES TOURISM PROMOTION ROADSHOWS IN THREE CITIES OF US WEST COAST

Image
Permanent Secretary, Ministry of Natural Resources and Tourism Dr. Adelhelm Meru delivering his speech during the launching of the tourism promotion campaign in the US West Coast at the Peninsula Hotel in Beverly Hills, California. Acting Manag ing Director of Tanzania Tourist Board Ms. Devota Mdachi giving her remarks during the launching of the tourism promotion campaign in the US West Coast at the Peninsula Hotel in Beverly Hills, California. Permanent Secretary, Ministry of Natural Res ource s and Tourism Dr. Adelhelm   Meru (right) presenting a Tanzanian wood carving  to Vice Mayor of Beverly Hills  Julian Gold of as an expression of appreciation on  behalf of H.E. Jakaya Kikwete,  President of the United Republic of Tanzania during the private VIP  reception held at the Peninsula Hotel in Beverly Hills, California, where the tourism promotion campaign was launched. Vice Mayor of Beverly Hills, Julian Gold (second left), joined by former Mayor, Jimmy Delsha

NYALANDU KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UTALII NCHINI

Image
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameendelea na jitihada za kutafuta ufumbuzi wa kudumu kuhusiana na changamoto zinazowakumba wadau wa biashara ya utalii nchini.   Katika kuhakikisha hilo linafanyika kwa mafanikio na kwa haraka, Nyalandu ametangaza kuanza kwa vikao vitakavyowakutanisha wataalamu wa Wizara zinazohusika na maliasili na utalii za Tanzania na Kenya kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali iili yapatiwe ufumbuzi kwa maslahi ya pande zote. Hatua hiyo imetokana na hivi karibuni Serikali ya Kenya kuyazuia magari ya utalii kutoka Tanzania kuingiza watalii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, hivyo kusababisha usumbufu mkubwa. Hata hivyo, Nyalandu aliingilia kati kwa kuzungumza na Waziri wa Utalii wa Kenya, Phillys Kandie na kufikiwa kwa makubaliano ya kuruhusiwa na hapo wazo wa wizara hizo kukutana likaibuliwa. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Nyalandu alisema vikao ya wataalamu hao vitaanza ra

MTIZAME MBWIGA MBWIGUKE NA SHAFFIH DAUDA WALIVYOKUWA WAKIONESHANA VYOMBOUWANJANI.

Image