Posts

Showing posts from February, 2015

CCM YAWATIMUA CHENGE,TABAIJUKA,NGELEJA,CC YAWAKIMBIA TENA WAKINA LOWASSA,SOMA HAPA KUJUA

Image
KAMATI kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM /CC,imewazuia Viongozi wake  waliochukua pesa kwenye Akaunt ya Escrow ya kutoingia kwenye Vikao vya juu kwenye vya Chama hicho. Viongozi waliozuiliwa ni Mbunge wa Muleba kusini Profesa Anne Tibajuka,Mbunge wa Bariada Magharibi Adrew Chenge pamoja Mbunge wa Sengerema William Ngeleja ambao wote kwa pamoja waliingiziwa pesa na Mbia wa kampuni ya IPTL bwana james Rugimalira kupitia kwenye Akaunt ya Benki ya Mkombozi. Akitangaza Maazimio hayo ya Kamati ya CC yaliyotakana na kikao kilichofanyika kwa siku moja Mkoani Dar Es Salaam,Mda huu Hapa jijini  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM,Nape Nnauye wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amesema Kamati ya cc imelijadili suala hilo kwamakini na kuwazuia viongozi hao wasiingie kwenye vikao hivyo . “Tumewataka viongozi hawa waliohusika na mihamala ya Akaunt ya Escrow ambao ni viongozi,akiwemo mama Tibaijuka ambaye naye ni mjumbe wa CC,Andrew Chenge mjumbe wa Nec na N

BLOGGERS KUKUTANA LEO KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA PATI YA KIHISTORIA

Image
 Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network  (TBN) na mmiliki wa Blog ya The Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi. Kutoka kushoto ni  mjumbe wa TBN Mkala Fundikira,  Afisa wa kampuni ya mawasiliano na matangazo ya AIMS, Shafiq Mpanja wa AIM, Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale na mjumbe wa TBN Khadija Kalili. Katika mkutano huo TBN imesema leo Jumamosi jioni Bloggers takriban 100 kutoka sehemu mbalimbali nchini watakutanika katika ukumbi wa hoteli ya Serena jijini Dar es salam kwa ajili ya hafla ya mwaka mpya itayohudhuriwa pia na wadhamini na marafiki wa Bloggers.  Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale akifafanua jambo wakati wa mkutano.  Mmiliki wa Blog ya Bongoweekeend Khadija Kalili akizungumza wakati wa mkutano.  Father Kidevu (kulia) akifafanua jambo wakati wa mkutano. Baadhi ya Bloggers na waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari wakifuatilia jambo wakati wa mkutano uliofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari Maelezo D

Breaking Newssss:NDEGE YA JESHI YAANGUKA NA KUWAKA MOTO JIJINI MWANZA,RUBANI ANUSURIKA.

Image
Ndegevita moja ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiteketea kwa moto huku jitihada za kuuzima zikiendelea katika ajali iliyotokea leo Februari 27, 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mwanza Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa eneo la tukio kuangalia mabaki ya ndegevita hiyo iliyopata ajali leo Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa ya ajali ya Ndegevita moja (1) iliyotokea leo tarehe 27 Februari 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mwanza. Ndegevita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida ya kivita,  Wakati rubani wa ndegevita iliyopata ajali akijiandaa kuruka ndipo ndege mnyama akaingia katika moja ya injini zake na kusababisha ndegevita kuwaka moto.  Hata hivyo, rubani wa ndegevita hiyo Meja Peter Lyamunda  alipoona ndege yake inawaka moto alifanikiwa kujirusha nje ya ndege hiyo kwa kutumia vifaa maalum na kufanikiwa kuokoa maisha yake ingawa amep

Tizama :MAANDALIZI YA MBIO ZA KILIMANJARO MARATHONI 2015

Image
Maandalizi ya mwisho ya kukarabati maeneo mbalimbali ya uwanja wa Chuo kikuu kutakapofanyika mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni. Mabango mbalimbali yakiwa yamewekwa maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi kuashiria kuanza kwa shamrashamra za mbio za Kilimanjaro Marathoni. Baadhi ya wageni wakijiandikisha kukimbia mbio ndefu za kilometa 42 ambapo zoezi la uandikishaji linafanyika katika hotel ya Keys mjini Moshi. Washiriki wa mbio za Kilometa 21 zinazodhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Tigo wakijiandikisha kwa ajili ya kupata namba maalumu wakati wa kukimbia mbio hizo.  Baadhi ya wakimbiaji wakijaza fomu kwa ajili ya kukimbia mbio ndefu za km 42. Wale wa mbio za Km 5 fun run pia walihakikisha wanafanya usajili wa ndugu zao pia. Katika eneo la kujiadikishia unapata kiburudisho cha Grand Malt mara baada ya kupatiwa namba kwa ajili ya kushiriki mbio hizo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

AMUUA MKEWE NA KUFUKIA MAITI KWENYE ZIZI LA NG'OMBE.

Image
MATUKIO ya mauaji ya kinyama yameendelea kushika kasi nchini baada ya mkazi wa kijiji cha Ubeti wilayani Rombo, aliyefahamika kwa jina la Peter Deogratius (43) kutuhumiwa kumuua mkewe  na kisha kufukia mwili wake ndani ya Boma la ngombe kabla ya kutokomea kusiko julikana . Tukio hilo la aina yake limetokea juzi ,majira ya saa 11:45 jioni katika kitongoji cha Mreya ambapo marehemu aliyekuwa akijishughulisha na Kilimo aligundulika kufariki dunia katika zizi hilo lililopo jirani kabisa na chumba cha kulala watoto wake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Geofrey Kamwela alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba marehemu alitambulika kwa jina la Jenipher Peter(45) aliyekuwa akiishi na mumewe huyo pamoja na watoto watatu. Alisema mtuhumiwa mara baada ya kutekeleza mauaji hayo akiwa mafichoni alipiga simu kwa jirani yake na kumtaarifu kuwa amemuua mkewe na kwamba maiti ameifukia ndani ya Boma la Ng’ombe lilopo nyumbani hapo.

MAANDALIZI YA KILIMANJARO MARATHONI,KLABU YA RIADHA YA HOLILI YAPELEKA WANARIADHA WAKE MAZOEZINI KENYA.

Image
Mkurugenzi wa klabu ya riadha ya Holili (HYAC) Domician Genand akizungumza juu ya maandalizi ya mbio za kimataifa za Kilimanjaro Maratahoni kwa wanariadha wake ambao baadhi yao amewapeleka nchini Kenya kwa ajili ya mazoezi. Baadhi ya wanariadha walioko katika kambi ya klabu ya riadha ya Holili wakicheza Draft ambapo miongoni mwao yumo mkimbiaji wa Kimataifa ,Osward Levelian ambaye anajiandaa na Mbio za Marathoni kilometa 42 zitakazofanyika nchini Nchina hivi karibuni. Mkurugenzi wa Klabu hiyo .Domician Genad akitoa maelezo namna kambi hiyo inavyoendeshwa. Mwakilishi wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini Dixon Busagaga akifanya mahojiano na mkimbiajiwa kimataifa wa mbio ndefu Osward Levelian anayejiandaa na mbio za Marathoni nchini China. Baadhi ya wakimbiaji wa kike wakiwa kambini Holili. Mwalimu wa timu ya riadha ya Holili,Timoth Kamili(mwenye t-shirt nyeusi )akizungumza na mkurugenzi wa klabu hiyo,Domician Genand. Na Dixon Busagaga,Moshi. BAADA ya Tanzan

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO @THAI VILLAGE-MASAKI

Image
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa live# Come and experience good music from our young talented singers #Aneth Kushaba #John music & #Ashura #Sony Masamba #Sam Mapenzi bila kumsahau baba lao Joniko Flower mkongwe kwenye burudani ya muziki wa Live...ni balaaaaa na si ya kukosaa.. See you there #goodmusic #goodpeople Sam Mapenzi katika hisia kali kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village-Masaki jijini Dar. I'm Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I