WANAWAKE WA TAASISI YA UTAFITI WA MBOGA DUNIANI WAPELEKA TABASAMU MOTONYOK ARUSHA .
Wanawake katika katika Taasisi ya Utafiti wa Mboga Duniani “World Vegetable Center” iliyopo Tengeru jijini Arusha wakionesha furaha yao muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kwenda kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira cha Motonyok kupeleka msaada wa elimu wa namna ya kuotesha mboga . Baadhi ya Wanawake katika t aasisi ya Utafiti wa Mboga Duniani “World Vegetable Center” iliyopo Tengeru jijini Arusha wakiwa wamebeba miche ya miti ambayo kwa ajili ya kuoteshwa katika kituo cha kulea watoto wanaotoka katika mazingira hatarishi cha Motonyok kilichopo Olasiti jijini Arusha. Mkurugenzi wa t aasisi ya Utafiti wa Mboga Duniani “World Vegetable Center” iliyopo Tengeru jijini Arusha Bi Colleta Ndungulu (katikati) akiwa na Mkurugenzi wa kituo cha kulea watoto wanaotoka katika mazingira hatarishi cha Motonyok Bi. Emmy Nicholaus Sitayo ,wakati wanawake wa taasisi hiyo walipotembelea kituo hicho kutoa mafunzo . Baadhi ya Wafanyakazi katika taasisi ya utafiti wa Mbo...